Gombo Kaya

Karibu kwenye nyumba ya Wavwanji!

 

Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya  kusikiliza na vya kutazama vyote kwa lugha ya Kivwanji! Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi yaliyorekodiwa na video za kufurahisha! Kama una mawazo yeyote au maoni wasiliana nasi.

Asante sana!

Matamba Lutheran Church